×

Kufuatia mabadiliko yaliyofanyika katika mfumo wa Ajira, mnajulishwa kuwa kuanzia Mwishoni mwa Mwezi Septemba, 2019 waombaji wa fursa za Ajira mtatakiwa kuwa na namba ya Kitambulisho cha Taifa ili kuweza kukamilisha maombi ya kazi. Hivyo, mnatakiwa kufuatilia haraka namba hizo katika Mamlaka husika (NIDA).

Recruitment Portal Helpdesk: +255 784 398 259. Download User Manual

LATEST:

Application General Conditions

  • All applicants must be Citizens of Tanzania
  • Applicants must attach their detailed relevant certified copies of Academic certificates.
  • Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts.