AFISA UTAMADUNI II (CULTURAL OFFICER GRRADE II).. - 3 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:


i.    Kutafiti masuala ya Lugha, Sanaa, Mila na Desturi katika ngazi ya Wilaya;
ii.    Kufundisha fani mbalimbali za utamaduni katika Vyuo na Vituo vya Elimu na mafunzo ya utamaduni;
iii.    Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa kituo.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:


•    Kuajiriwa wenye shahada au stashahada ya juu katika Sanaa au Lugha kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali

REMUNERATION: Salary Scale TGS.D

Login to Apply