AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS)) - 46 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.     Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio;

ii.     Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio;

iii.     Kuwafundisha wakulima mbinu za kilimo bora;

iv.     Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti;

v.     Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi ya mbolea na madawa, pembejeo za kilimo;

vi.     Kukusanya na kutunza takwimu za mazao na bei kwa  wiki mwezi,  robo na mwaka ngazi ya halmashauri;

vii.     Kukusanya takwimu za mvua;

viii.     Kushiriki katika savei za kilimo;

ix.     Kushirikiana na vikundi vya wakulima kuhusu matatizo na teknolojia  sahihi za kutumia;

x.     Kupanga mipango ya uzalishaji;

xi.     Kupima uotaji wa mbegu na kusimamia taratibu za ukaguzi;

xii.     Kuwatambua wasambazaji wa pembejeo;

xiii.     Kutoa mafunzo ya lishe kwa wakulima;

xiv.     Kufanya vipimo vya ubora, unyevunyevu na uotaji wa mbegu;

xv.     Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea;

xvi.     Kusimamia shughuli za kila siku za majaribio ya kilimo;

xvii.     Kuwaelimisha wakulima juu ya matumizi bora ya udongo na maji;

xviii.     Kutoa ushauri wa kilimo mseto;

xix.     Kuandaa sheria ndogo za hifadhi ya mazingira na;

xx.     Kutoa taaluma ya uzalishaji wa mboga, matunda, maua na viungo.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha nne (IV) au Sita (VI) wenye stashahada

(Diploma) ya kilimo kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply