FUNDI MCHUNDO DARAJA II (FITTER AND TURNER) - 12 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuchonga vipuri mbalimbali;
ii.    Kusoma na kutafri michoro mbalimbali inayotumika katika karakana;
iii.    Kuhakikisha hali ya usafi na usalama mahala pa kazi;
iv.    Kuendesha mashine mbalimbali za uchongaji katika karakana kama vile Lathe, Milling, Grilling, Drilling nk;
v.    Kufanya kazi za fitting;
vi.    Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
vii.    Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wako.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa ‘Fitter and Turner’  kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2

Login to Apply