FUNDI MCHUNDO DARAJA II (FITTER MECHANICS) - 8 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kufanya uchunguzi ili kutambua chanzo cha tatizo na kutoa taarifa kwa ajili ya maamuzi;
ii.    Kufanya matengenezo ya mitambo mbalimbali ya Shirika;
iii.    Kuhakikisha mitambo ipo katika hali nzuriwakati wote;
iv.    Kuendesha mitambo;
v.    Kukagua na kutambua vipuri na vijenzi vilivyoharibika (worn parts) kwa kufuata ratiba ya matengenezo;
vi.    Kusoma na kutafri michoro mbalimbali ya mifumoya mashine;
vii.    Kubadilisha vipuri vilivyoharibika katika mashine na mitambo;
viii.    Kufanya ‘marking –off’ kulingana na michoro;
ix.    Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
x.    Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wako.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa ‘Fitter Mechanics’  kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2

Login to Apply