FUNDI MCHUNDO DARAJA II (MCHOMELEAJI) - 4 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kukarabati mashine;
ii.    Kuunda mashine;
iii.    Kuunga na kukata vyuma;
iv.    Kuchora michoro (Free hand Sketch) na kutafsiri michoro mbalimbali;
v.    Kufanya uungaji kwa kutambua aina mbalimbali za miungo;
vi.     Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
vii.    Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wako.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Mchomeleaji  ‘welding’ kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2.

Login to Apply