FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USUBIAJI NA UUNGAJI VYUMA-MOULDING) - 2 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuandaa mchanga utumikao katika uandaaji wa ‘moulds’ na ‘core’ mbalimbali;
ii.    Kutengeneza ‘moulds’ za aina mbalimbali kwa ajili ya usubiaji;
iii.    Kusubu brasi na vyuma;
iv.     Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
v.    Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wako.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Usubiaji na Uungaji Vyuma ‘moulding’ kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2

Login to Apply