FUNDI MCHUNDO DARAJA II (UUNDAJI WA PATENI) - 1 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kusoma na kutafsiri michoro;
ii.    Kutambua tabia mbalimbali za mbao zinazotumika kutengenezea pateni;
iii.    Kutengeneza pateni na ‘core boxes;
iv.    Kukarabati pateni na ‘core boxes’;
v.    Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
vi.    Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wako.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Uundaji waPateni ‘Pattern Maker’    kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2

Login to Apply