FUNDI MCHUNDO DARAJA II (UMEME) - 1 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kusoma na kutafsiri mifumo (wiring) mbalimbali ya umeme;
ii.    Kufanya ‘wiring’za taa na mitambo;
iii.    Kufanya matengenezo ya mifumo ya umeme;
iv.    Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
v.    Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wako.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Ufundi Umeme  kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2.

Login to Apply