FUNDI MCHUNDO DARAJA II (USEREMALA-CARPENTRY AND JOINERY) - 2 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuchambua na kushauri juu ya matumizi ya aina mbalimbali ya mbao;
ii.    Kutengeneza samanina mazao yatokanayo na mbao;
iii.    Kufanya ukarabati mbalimbali wa samani na kazi zinahusu mbao;
iv.    Kukagua na kutoa taarifa ya maeneo yanayohitaji matengenezo;
v.     Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
vi.    Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wako.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Useremala –‘Carpentry and Joinery’  kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2

Login to Apply