FUNDI MCHUNDO DARAJA II (FUNDI MAGARI-MOTOR VEHICLE MECHANICS) - 6 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kufanya matengenezo kinga (Preventive maintenance) ya ‘Clutch’,  ‘Gear boxes’ mifumo ya breki nk;
ii.    Kuchunguza na kutambua matatizo ya magari na mitambo na kufanya matengenezo;
iii.    Kufanya majaribio ya ubora wa magari na mitambo baada ya matengenezo;
iv.    Kuhakikisha utunzaji wa zana zinazotumika katika karakana za magari na mitambo;
v.     Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
vi.    Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wako.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Ufundi Magari- ‘Motor Vehicle Mechanics’ kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2

Login to Apply