FUNDI MCHUNDO DARAJA II (FUNDI BOMBA) - 1 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuchora na kutafsiri michoro ya mifumo ya mabomba;
ii.    Kufanya makadirio ya gharama za matengenezo ya bomba;
iii.    Kuhakikisha usalama na usafi wa mabomba kadri ya viwango nvya ubora;
iv.    Kufanya ukarabati na matengenezo ya mifumo ya mabomba;
v.    Kufanya ukaguzi na kushauri juu ya mifumo ya mabomba ya maji na maji taka;
vi.    Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
vii.    Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wako.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Ufundi Bomba kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2

Login to Apply