FUNDI MCHUNDO DARAJA II (UASHI) - 2 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kutunza vifaa na zana za ujenzi katika hali ya usafi na usalama;
ii.    Kufanya ujenzi wa majengo kwa kufuata michoro;
iii.    Kukarabati majengo;
iv.    Kufanya makadirio ya gharama za ujenzi;
v.    Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
vi.    Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wake.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha  Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Uashi  kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PGSS 2

Login to Apply