MTEKNOLOJIA DARAJA LA II MAABARA - 1 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

      i.        Kupima sampuli zinazoletwa maabara;

    ii.        Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi;

   iii.        Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara, vitendanishi, vifaa, kemikali  na hifadhi ya kemikali;

   iv.        Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa  uchunguzi;

    v.        Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;

   vi.        Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wake.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Stashahada katika fani ya Uteknolojia/Ufundi sanifu Maabara katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PMGSS 2

Login to Apply