MHUDUMU WA AFYA DARAJA LA II - 1 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kufanya usafi wa vifaa vya kazi, usafi wa wodi na mazingira;
ii.    Kusaidia wagonjwa wenye ulemavu na wasiojiweza katika kwenda haja (kubwa na ndogo) na kuoga;
iii.    Kumsaidia kumlisha mgonjwa asiyejiweza;
iv.    Kuchukua nguo za mgonjwa kuzipeleka kwenda kufuliwa;
v.    Kuchukua sampuli za mgonjwa kwa ajili ya vipimo vya maabara na kufuatilia majibu;
vi.    Kutayarisha vifaa kwa ajili ya kusafisha na kufunga majeraha;
vii.    Kufuatilia mahitaji ya dawa kwa wagonjwa kutoka hifadhi ya dawa;
viii.    Kufanya shughuli nyingine atakazopangiwa na kiongozi wake wa kazi.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kidato cha nne na mafunzo ya mwaka mmoja katika fani ya uuguzi katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PMOSS 1

Login to Apply