KATIBU MUHTASI DARAJA LA III - 1 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuchapa barua/taarifa na nyaraka za kawaida;
ii.    Kusaidia kupokea wageni, kuwasaili shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa;
iii.    Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, mihadi, wageni tarehe za vikao safari za mkuu wake na ratiba za kazi  zingine;
iv.    Kusaidia kutafuta na kumpatia mkuu wake majalada nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi kwa wasaidizi wake ofisini;
v.    Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa  wasaidizi wake ofisini;
vi.    Kutekeleza kazi zote atakazokuwa amepangiwa na msimamizi 


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kidato cha nne, mafunzo ya uhazili hatua ya tatu na mafunzo ya kompyuta katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale PGSS1

Login to Apply