MTEKNOLOJIA DARAJA II FAMASI - 1 POST

Employer: SHIRIKA LA MZINGA
Date Published: 2017-09-13
Application Deadline: 2017-09-26

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuainisha, kuandaa na kuagiza mahitaji ya dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi;
ii.    Kugawa dawa na vifaa tiba kwa wagonjwa na watumishi;
iii.    Kuchanganya dawa;
iv.    Kuhifadhi dawa na vifaa tiba;
v.    Kuelimisha jamii kuhusu matumizi sahihi ya dawa;
vi.    Kukagua dawa, vifaa tiba kemikali, vitendanishi na vipodozi katika eneo lake la kazi;
vii.    Kutoa taarifa juu ya madhara yatokanayo na matumizi ya dawa;
viii.    Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba;
ix.    Kufanya uchunguzi wa ubora wa dawa, vifaa tiba kemikali, vitendanishi na vipodozi
x.    Kufanya kaguzi mbalimbali katika sehemu zinazohifadhi dawa;
xi.    Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba;
xii.    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Stashahada katika fani ya Uteknolojia/Ufundi sanifu dawa katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa (Enrolled) na mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA).

REMUNERATION: Salary Scale PMOSS 1

Login to Apply