MKUU WA KITENGO CHA UNUNUZI WA UGAVI - 1 POST

Employer: KARIAKOO MARKETS
Date Published: 2017-09-25
Application Deadline: 2017-10-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

Atakuwa Mshauri Mkuu wa Shirika kwenye masuala yote yanayohusu manunuzi na uuzaji wa mali chakavu za Shirika kwa njia ya Zabuni au mnada, kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za Manunuzi ya Umma
i.    Kuandaa na kutekeleza mpango wa manunuzi wa mwaka (Annual Procurement Plan) wa Shirika.
ii.    Kupanga na kusimamia manunuzi yote au uuzaji wa vifaa chakavu vya Shirika kwa njia ya zabuni au mnada kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za Manunuzi.
iii.    Atakuwa katibu wa Bodi ya Zabuni Shirika.
iv.    Kuandaa makabrasha ya zabuni (Tendering documents) na kuwapatia wazabuni
v.    Kuandaa na kutangaza matangazo ya zabuni
vi.    Kuandaa mikataba ya zabuni
vii.    Kuwapatia wazabuni walioshinda mikataba ya kazi
viii.    Kuhifadhi na kutunza usalama wa taarifa zote zinazohusiana na manunuzi na uuzaji wa mali za Shirika na kuzionesha taarifa hizo pale zinapohitajika.
ix.    Kuhifadhi na kutunza kiusalama taarifa zote zinazohusiana na manunuzi na uuzaji wa mali za Shirika na kuzionesa taarifa hizo pale zinapohitajika.
x.    Kuhifadhi na kuitunza mikataba yote ya zabuni za Shirika
xi.    Kuandaa taarifa za kila mwezi za utendaji wa zabuni wa Shirika na kuziwasilisha kwenye bodi ya zabuni
xii.    Kuratibu ufanyaji kazi wa  Bodi ya Zabuni ya Shirika kwa mujibu wa Shirika.
xiii.    Kuhakikisha kuwa kanuni na taratibu zote za stoo zinafuatwa
xiv.    Kuhakikisha usalama unakuwepo kwenye mali yote iliyopo stoo/ghala
xv.    Kusaidiana na Wakuu wa Idara na Vitengo kuratibu na kuweka kumbukumbu za vifaa vilivyochakaa, thamani yake na vile ambavyo havijachakaa.
xvi.    Kuandaa taarifa mbalimbali za kitengo zinazohitajika na Menejimenti au Mamlaka ya kurabitu manunuzi ya umma (PPRA)


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Awe  na Shahada au Stashahada ya juu ya “Materials Management” au sifa zinazolingana na hizo kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali. Awe pia na cheti cha CPSP na amesajiliwa na PSPTB na ujuzi usiopungua miaka saba (7).
•    Shahada ya uzamili itakuwa ni sifa ya ziada.

REMUNERATION: Salary Scale Attractive remuneration package wil

Login to Apply