MENEJA RASILIMALI WATU NA UTAWALA - 1 POST

Employer: KARIAKOO MARKETS
Date Published: 2017-09-25
Application Deadline: 2017-10-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Atamsaidia Meneja Mkuu katika masuala yote ya Rasilimali watu na Utawala
ii.    Mratibu wa mikutano ya Shirika
iii.    Utayarishaji wa Bajeti kwa kushirikiana na Meneja wa Fedha
iv.    Kushauri juu ya kazi na taratibu za ajira katika Shirika
v.    Kusimamia uwekaji wa kumbukumbu za watumishi wote wa Shirika
vi.    Kusimamia viwango na taratibu za maslahi ya watumishi, likizo, fidia, mafunzo, kupandishwa vyeo, nyongeza za mishahara na utunzaji wa nyaraka mbalimbali  za kuhakikisha kuwa vinafuatwa na kila Idara au Vitengo katika Shirika.
vii.    Kuhakikisha kuwa Kanuni za Utumishi, mifumo na miongozo mbalimbali ya utawala inafuatwa.
viii.    Kuhakikisha kuwa tathmini ya utendaji kazi (Performance Appraisal) inafanyika kila mwaka.
ix.    Kuhakikisha kuwa zoezi la kila mwaka la kupandisha watumishi vyeo, mpango wa mafunzo, kuthibitisha  watumishi kazini, ratiba za likizo n.k vinatekelezwa ipasavyo.
x.    Kutayarisha mpangilio wa elimu ya wafanyakazi.
xi.    Kufanya kazi yoyote inayohusiana na Idara atakayopangiwa na Meneja Mkuu.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Awe na shahada ya uzamili katika fani ya Menejimenti ya Rasilimali watu, Uongozi na Utawala wa Umma au mwenye sifa zinazolingana na hizo.
•    Uzoefu wa kazi usiopungua miaka kumi (10)

REMUNERATION: Salary Scale Attractive remuneration package wil

Login to Apply