MENEJA BIASHARA NA MIPANGO - 1 POST

Employer: KARIAKOO MARKETS
Date Published: 2017-09-25
Application Deadline: 2017-10-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuendesha mfumo sahihi wa mipango kwa ajili ya Shirika zima na utayarishaji mipango inayotumiwa na Idara zote za Shirika.
ii.    Kuratibu utayarishaji mipango wa muda mfupi  na mrefu na kutoa msaada wa kiufundi katika mipango yote inapohitajika
iii.    Kusimamia uendeshaji wa shughuli zote zinazoleta pato kibiashara kwa Shirika
iv.    Kuelekeza na kusimamia watumishi wote katika idara ya Biashara
v.    Kutoa taarifa za kibiashara  kwa Meneja Mkuu kuhusu mwenendo mzima wa Biashara katika Shirika.
vi.    Kutoa taarifa za kibiashara kwa Meneja Mkuu kuhusu mwenendo mzima  wa Biashara katika Shirika.
vii.    Kufanya kazi yoyote atakayopangiwa na Meneja Mkuu


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Mwombaji awe na shahada ya Uzamili ya Biashara au Uchumi kutoka chuo Kikuu kinachotambulika na Serikali na Uzoefu wa kazi usiopungua miaka kumi (10)

REMUNERATION: Salary Scale Attractive remuneration package wil

Login to Apply