MENEJA WA FEDHA - 1 POST

Employer: KARIAKOO MARKETS
Date Published: 2017-09-25
Application Deadline: 2017-10-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuwa mshauri Mkuu wa Meneja Mkuu kuhusu masuala ya fedha za Shirika
ii.    Kuwasimamia na kuwaongoza wafanyakazi wote wa idara ya uhasibu
iii.    Kuandaa na kuweka sawa mfumo wa Hesabu za Shirika na kuhakikisha kuwa malengo ya ukusanyaji yanafikiwa
iv.    Kuhakikisha kuwa vitabu vya fedha vinaandaliwa na ukaguzi wa nje unafanyika kulingana na kanuni na miongozo ya shirika.
v.    Kuweka muundo sahihi wa fedha kwa ajili ya Shirika na kuhakikisha upatikanaji na usambazaji wa fedha unafaa.
vi.    Kuhakikisha kuwa kanuni za fedha zinafuatwa
vii.    Kutayarisha bajeti ya mwaka pamoja na mifumo ya udhibiti wa bajeti kama itakavyoelekezwa na Meneja Mkuu au Bodi ya Wakurugenzi.
viii.    Kufanya kazi nyingine kama atakavyoagizwa na Meneja Mkuu


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Mwombaji awe na cheti cha CPA(T), awe amesajiliwa na NBAA  kama Mhasibu aliyethibitishwa, Shahada ya Uzamili (MBA, Msc Finance).
•    Pamoja na uzoefu wa kazi usiopungua miaka kumi (10)

REMUNERATION: Salary Scale Attractive remuneration package wil

Login to Apply