MHUDUMU WA JIKONI DARAJA LA II (KITCHEN/ MESS ATTENDANT) – MDA'S - 5 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-04-10
Application Deadline: 2018-04-24

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kusafisha Vyombo vya kupikia.
ii.    Kusafisha Vyombo vya kulia chakula.
iii.    Kusafisha Meza itumiwayo kwa kulia chakula.
iv.    Kuwatayarishia Wapishi/Waandazi vifaa vya Mpishi na Mezani.
v.    Kusafisha maeneo ya kulia chakula na kupikia.
vi.    Kuwasaidia Waandazi na Wapishi.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne wenye uzoefu wa kazi kwa muda usiopungua miaka mitatu.

REMUNERATION: Salary Scale Ngazi ya Mshahara TGOS A

CLOSED 2 day(s) Ago.