FUNDI SANIFU (HAIDROLOJIA) DARAJA LA II (TECHNICIAN GRADE II HYDROLOGY) - 15 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-05-15
Application Deadline: 2018-05-28

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Ukusanyaji na ukaguaji wa takwimu za maji;
ii.    Kutunza takwimu za maji;
iii.    Kuingiza takwimu za maji kwenye fomu Na: H: 12 tayari kwa kutumiwa kwenye michoro;
iv.    Kuchora ‘hydrograph’ za maji;
v.    Utengenezaji visima vya rekoda, stendi za winchi, sinia za maji ‘cable way post” n.k;
vi.    Kufanya matengenezo ya vifaa  vyote vya kupimia maji na hali ya hewa;
vii.    Kuingiza takwimu kwenye kompyuta;
viii.    Kufundisha wasoma vipimo.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa Wahitimu wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali ambao wana  cheti cha ufundi ( FTC- Hydrology) au Stashahada ya Rasilimali za Maji na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta.

REMUNERATION: Salary Scale TGS C

Login to Apply