FUNDI SANIFU DARAJA LA II - MAABARA YA MAJI (LABORATORY TECHNICIAN WATER II) - 9 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-05-15
Application Deadline: 2018-05-28

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kufanya mchanganuo (analysis) kikemikali ili kuthibitisha/kutathmini vielelezo (samples) vinavyohusika kwenye maabara;
ii.    Kutunza vyombo vya maabara;
iii.    Kutayarisha vitendea kazi vya maabala kwenye masomo ya sayansi kwa vitendo
iv.    Kutambua, Kuthibitisha na kuweka kumbukumbu za takwimu za vielelezo mbalimbali;
v.    Kusaidia kazi za watafiti.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha sita (vi) waliofuzu mojawapo ya mafunzo ya miaka miwili (2) ya Stashahada (Diploma) ya ufundi sanifu wa Maabara ya maji au sifa zinazolingana na hizo kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS,C

Login to Apply