DEREVA II - 30 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-07-10
Application Deadline: 2018-07-24

JOB SUMMARY:

NON

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;

ii.Kuwapeleka watumishi katika maeneo mbalimbali ya kikazi;

iii.Kufanya matengenezo madogomadogo ya gari;

iv.Kusafirisha mizigo na nyaraka mbalimbali za ofisi;

v.Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;

vi.Kufanya usafi wa gari na;

vii.Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na msimamizi wake.

 


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Mwombaji awe na cheti cha kufaulu cha kidato cha nne (Form IV) na Leseni ya Daraja la E au C1 ya uendeshaji Magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Aidha, Waombaji ambao wamewahi kufanya kazi za kuendesha magari katika kufanya tafiti mbalimbali watafikiriwa kwanza

 

REMUNERATION: Salary Scale ATTRACTIVE REMUNERATION PACKAGE ACC

Login to Apply