AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS) – (NAFASI 12) - 12 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2019-08-06
Application Deadline: 2019-08-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio;

ii.Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio;

iii.Kuwafundisha wakulima mbinu za kilimo bora;

iv.Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti;

v.Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi ya mbolea na madawa, pembejeo za kilimo;

vi.Kukusanya na kutunza takwimu za mazao na bei kwa wiki mwezi, robo na mwaka ngazi ya halmashauri;

vii.Kukusanya takwimu za mvua;

viii.Kushiriki katika savei za kilimo;

ix.Kushirikiana na vikundi vya wakulima kuhusu matatizo na teknolojia sahihi za kutumia;

x.Kupanga mipango ya uzalishaji;

xi.Kupima uotaji wa mbegu na kusimamia taratibu za ukaguzi;

xii.Kuwatambua wasambazaji wa pembejeo;

xiii.Kutoa mafunzo ya lishe kwa wakulima;

xiv.Kufanya vipimo vya ubora, unyevunyevu na uotaji wa mbegu;

xv.Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea;

xvi.Kusimamia shughuli za kila siku za majaribio ya kilimo;

xvii.Kuwaelimisha wakulima juu ya matumizi bora ya udongo na maji;

xviii.Kutoa ushauri wa kilimo mseto;

xix.Kuandaa sheria ndogo za hifadhi ya mazingira na;

xx.Kutoa taaluma ya uzalishaji wa mboga, matunda, maua na viungo.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Sita (VI) wenye stashahada ya kilimo kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

 

REMUNERATION: Salary Scale TGS B.

Login to Apply