MSAIDIZI MIFUGO (LIVESTOCK FIELD ASSISTANT) - 4 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2019-08-06
Application Deadline: 2019-08-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.Kutoa huduma za ugani katika uendelezaji mifugo na mazao yake;

ii.Kutibu mifugo na kutoa taarifa za magonjwa, tiba na chakula;

iii.Kusimamia utendaji kazi wa wahudumu mifugo;

iv.Kutunza takwimu na taarifa mbalimbali za mifugo;

v.Kukaguo ubora wa mazao ya mifugo;

vi.Kusimamia ustawi wa wanyama;

vii.Kufanya kaza nyingine atakazo pangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazohusiana na fani yake.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV ambao wamepata mafunzo ya mifugo ya muda wa miaka miwili na kutunukiwa Astashahada (certificate) ya uzalishaji na afya ya mifugo kutoka vyuo vya mafunzo ya mifugo (Livestock Training Institute – LITI) au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali.

 

REMUNERATION: Salary Scale TGS B;

Login to Apply