NAHODHA DARAJA LA II (SKIPPER) - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2019-08-06
Application Deadline: 2019-08-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.Kubuni na kuunda zana za kuvulia samaki (Fishing Gears)

ii.Kutunza na kutengeneza zana za kuvulia samaki

iii.Kuongoza na kuendesha meli/boti ndogo za futi 40 zenye uzito wa kuandikishwa 

        wa Tani 50-200 (GRT)

iv.Kuendesha shughuli za uvuvi katika meli/boti


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha sita (VI) wenye Stashahada (Diploma) ya Unahodha na Uvuvi (Master Fisherman) kutoka Chuo cha Uvuvi Mbegani au vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

 

REMUNERATION: Salary Scale TGS C;.

Login to Apply