MKUFUNZI WA MIFUGO MSAIDIZI (ASSISTANT LIVESTOCK TUTOR) - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2019-08-06
Application Deadline: 2019-08-20

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.Kuandaa mtiririko (Lesson Plan) wa masomo

ii.Kufundisha kozi ya astashahada ya mifugo na wafugaji.

iii.Kusimamia masomo ya vitendo chini ya usimamizi wa Mkufunzi Mkuu wa somo

iv.Kuandaa na kupanga vifaa kwa ajili ya somo la vitendo

v.Kuwapima wanachuo wakati wa mazoezi ya somo la vitendo

vi.Anaweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Kitengo (dairy, poultry, maabara, museum, nk).

vii.Kufanya kazi nyingine kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.

 


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha sita (VI) waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya mifugo kutoka MATI/LITI au chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali.

 

REMUNERATION: Salary Scale TGS-C

Login to Apply