POST DETAILS
POSTMHUDUMU WA JIKONI DARAJA LA II – NAFASI 1 - 1 POST
POST CATEGORY(S)CSE
EMPLOYERMDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2020-02-13 2020-02-26
JOB SUMMARYNA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.    Kusafisha Vyombo vya kupikia.
ii.    Kusafisha Vyombo vya kulia chakula.
iii.    Kusafisha Meza itumiwayo kwa kulia chakula.
iv.    Kuwatayarishia Wapishi/Waandazi vifaa vya Mapishi na Mezani.
v.    Kusafisha maeneo ya kulia chakula na kupikia.
vi.    Kuwasaidia Waandazi na Wapishi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne wenye uzoefu wa kazi kwa muda usiopungua miaka mitatu

REMUNERATION TGS A
Login to Apply