POST DETAILS
POSTDAKTARI MIFUGO MKUFUNZI DARAJA LA II - 1 POST
POST CATEGORY(S)FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYERMDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2020-02-13 2020-02-26
JOB SUMMARYNA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.    Kutafsiri mihutasari ya mafunzo kwenye masomo;
ii.    Kuandaa mtiririko wa kila somo (lesson plan) kwa upande wa nadharia na vitendo;
iii.    Kufundisha kozi za stashahada na astashahada kwa upande wa nadharia na vitendo;
iv.    Kuandaa na kupanga somo la vitendo na kusimamia wanachuo wakati wa kujifunza;
v.    Kupima maendeleo ya wanachuo kwenye mitihani kwa kipindi chote kinachohusika na kutunza alama zao;
vi.    Kupima maendeleo ya wanachuo kwa kushirikiana na madaktari /maofisa mifugo wa wilaya, wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field Practicals); na
vii.     Kufanya kazi nyingine zozote kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Tiba ya Mifugo kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Bodi ya Madaktari Tanzania.

REMUNERATION TGS.E
Login to Apply