POST DETAILS
POSTMSAIDIZI WA MAKTABA (LIBRARY ASSISTANT) II- NAFASI 1 - 1 POST
POST CATEGORY(S)HR & ADMINISTRATION
EMPLOYERMDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2020-02-13 2020-02-26
JOB SUMMARYNA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.    Kuandikisha wasomaji;
ii.    Kupanga vitabu katika rafu (Shelves);
iii.    Kuazimisha na kupokea vitabu vinavyoazimwa;
iv.    Kukarabati vitabu vilivyochakaa;
v.    Kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wa kituo.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa waliohitimu cheti cha Mtihani wa Taifa wa kidato cha nne ambao wamefaulu mafunzo ya Wasaidizi wa Maktaba (National Library Assistants Certificate Course) yatolewayo na Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania au wenye cheti kinacholingana na hicho.

REMUNERATION TGS. B
Login to Apply