MTAKWIMU DARAJA LA II (STATISTICIAN GRADE II).. - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kubuni na kuendeleza mfumo wa kitaifa wa kukusanya  na kuratibu takwimu;
ii.    Kutengeneza utaratibu wa kukusanya takwimu pamoja na ule wa kuchukua takwimu za mfano/vielelezo (Sampling);
iii.    Kukusanya, Kuchambua na kuwasilisha takwimu ngazi za juu.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza katika fani ya Takwimu au Hisabati kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia Kompyuta.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.D

Login to Apply