MVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (FISHERIES ASSISTANT II).. - 2 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kutengeneza, Kushona, Kutunza na Kukarabati zana za uvuvi;
ii.    Kutunza na kuangalia mabwawa ya samaki;
iii.    Kutega mitego Ziwani au Baharini;
iv.    Kutengeneza nyavu ndogo ndogo;
v.    Kuwapa chakula samaki katika mabwawa;
vi.    Kuvua samaki katika mabwawa;
vii.    Kutoa ushauri kwa wavuvi kuhusu mbinu mbalimbali za uvuvi;
viii.    Kukusanya takwimu za uvuvi kutoka kwenye vituo vya kupokelea samaki;
ix.    Kutoa ushauri juu ya uhifadhi wa samaki na mbinu za usambazaji na uuzaji wa mazao yatokanayo na samaki;
x.    Kuwaelimisha wananchi juu ya ufugaji wa samaki na mambo muhimu ya kuzingatia.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye stashahada (Diploma) ya Uvuvi au Uhifadhi wa Samaki na Masoko (Fish Processing & Marketing) kutoka vyuo vya uvuvi vya Mbegani, Kunduchi au vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply