MPOKEZI (RECEPTIONIST).. - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kupokea wageni na kuwasaili shida zao;
ii.    Kutunza rejesta ya wageni wa ofisi na kufanya uchambuzi wa wageni wanaoingia ili kutoa ushauri juu ya utaratibu bora wa kupokea wageni;
iii.    Kupokea na kusambaza maombi ya simu za ndani;
iv.    Kutunza na kudumisha usafi wa “Switchboard” na ofisi zake;
v.    Kuwaelekeza wageni wa ofisi kwa maafisa/ofisi watakakopewa huduma;
vi.    Kuhakikisha kwamba wageni wanaoingia ndani wana miadi (Appointment) au wamepata idhni ya maafisa husika;
vii.    Kupokea simu kutoka nje na kuzisambaza kwa maofisa mbalimbali ofisini;
viii.    Kupokea simu kutoka “Extension” za ndani na kupiga nje ya ofisi;
ix.    Kutunza rejesta ya simu zinazopokelewa kutoka nje ya ofisi na zinazopigwa kwenda nje.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV waliofaulu masomo ya Kiingereza, Kiswahili na Hisabati na kufuzu mafunzo ya Mapokezi (front desk operation) au Upokeaji Simu kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS. B

Login to Apply