MWANDAZI DARAJA LA II (WAITER GRADE II).. - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuandaa meza ya kulia chakula;
ii.    Kupamba meza ya kulia chakula;
iii.    Kupanga vifaa vya kulia chakula mezani;
iv.    Kuondoa vyombo baada ya kula chakula


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wenye cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV na kufuzu mafunzo ya  mwaka mmoja katika fani ya ‘Food and Bevarages’ yatolewayo na vyuo vya Forodhani Dar es Salaam.  Masoka Moshi, Arusha Hotel na Y.M.C.A ya Moshi na Vyuo vingine vinavyolingana ambavyo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS. B

Login to Apply