MTUNZA BUSTANI DARAJA LA II (GARDNER II).. - 3 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kupanda mboga, matunda, n.k. katika bustani;
ii.    Kupalilia mazao katika bustani;
iii.    Kupanda maua katika maeneo yanayohusika;
iv.    Kupanda na kukata majani na kumwagilia maji;
v.    Kufanya kazi zingine zitakazoelekezwa na Viongozi wa Kitengo chao.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wenye Cheti katika fani ya utunzaji bustani za maua, mboga na upandaji majani kutoka chuo cha Maendeleo ya Wananchi, VETA, au JKT au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGOS A

Login to Apply