MHANDISI KILIMO DARAJA LA II (AGRO ENGINEERS). - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuandaa program za mafunzo kwa wakulima kutumia zana za kilimo;
ii.    Kushiriki katika kufundisha wakulima na matumizi bora ya zana;
iii.    Kushiriki kutengeneza michoro/ramani za umwagiliaji;
iv.    Kushiriki katika ujenzi wa miradi ya umwagiliaji;
v.    Kushirikiana na mafundi sanifu kuwafunindisha wakulima uendeshaji wa skimu za umwagiliaji;
vi.    Kukusanya takwimu za miradi ya umwagiliaji;
vii.    Kushiriki kuratibu na kutoa huduma za umwagiliaji kwa vikundi vya umwagiliaji pamoja na matumizi ya maji;
viii.    Kuandaa mafunzo/maonyesho ya matumizi ya za za kilimo;
ix.    Kufuatilia program za mafunzo ya wanyama kazi, mafundi wa matrekta na wakulima jinsi ya matumizi ya wanyama na matrekta;
x.    Kuwafundisha wakulima ujenzi wa vihengo bora na
xi.    Kushughulikia ubora wa zana na kuwashauri waagizaji na watengenezaji ipasavyo.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza (Bachelor Degree) ya uhandisi yenye mwelekeo mkubwa katika fani ya Kilimo cha umwagiliaji au cha Zana za Kilimo kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.E

Login to Apply