WAKILI WA SERIKALI DARAJA LA II.. - 51 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Hili ni Daraja la Mafunzo katika kazi, hivyo Wakili wa Serikali katika daraja hili atafanya kazi za kisheria kwa maelekezo ya Mawakili wa Serikali walio na Uzoefu kazini, pamoja na ;
ii.    Kuendesha mashauri mepesi  Mahakamani;
iii.    Kuendesha kesi  za mahakama kuu;
iv.    Kutoa Ushauri wa Kisheria kwa Serikali  chini ya usimamiziwa Mawakili Waandamizi;
v.    Kushughulikia kesi za vizazi, vifo, ndoa, na kesi zinazotokana na mirathi mahakamani;
vi.    Kusimamia utayarishaji wa takwimu zinazohusu ndoa, talaka, mabadiliko na mabatilisho ya ndoa;
vii.    Kutayarisha maandishi juu ya Sheria ambazo Serikali/Tume ya kurekebisha Sheria inataka zifanyiwe utafiti na kurekebishwa;
viii.    Kufanya utafiti wa Sheria;
ix.    Kuelimisha Umma kuhusu mambo ya Katiba na Haki za Binadamu.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Mwenye Shahada ya Sheria (LLB) Kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali na kumaliza vizuri mafunzo katika kazi (Internship) ya mwaka mmoja katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.E

Login to Apply