MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II. - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi na mbuga za wanyamapori;
ii.    Kusimamia utekelezaji wa taratibu za uwindaji na utalii;
iii.    Kutekeleza kazi za maendeleo katika Mapori ya Akiba;
iv.    Kuhakiki ulinzi wa nyara za Serikali;
v.    Kuhakiki vifaa vya doria;
vi.    Kudhibiti usafirishaji wa wanyamapori na nyara nje na ndani ya nchi;
vii.    Kudhibiti matumizi ya magari ya doria;
viii.    Kuratibu uingiaji wa wageni katika Mapori ya Akiba;
ix.    Kusimamia uwindaji wa kitalii;
x.    Kudhibiti na kusimamia umilikaji wa nyara;
xi.    Kuweka mikakati ya kudhibiti moto mkali;
xii.    Kukusanya takwimu za wanyamapori na mimea.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au Kidato cha VI, wenye stashahada ya Uhifadhi wa Wanyamapori Mweka au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply