AFISA ARDHI MSAIDIZI (ASSISTANT LAND OFFICER) - 3 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

MAJUKUMU YA KAZI
i.    Kuingiza kumbukumbu katika kompyuta;
ii.    Kutoa ushauri kwa wateja;
iii.    Kupokea, kukagua na kusambaza majalada kwa maafisa kwa utekelezaji.
iv.    Kusaidia Maafisa Ardhi katika ukaguzi na kuchukua kumbukumbu, picha taarifa, vipimo vya majumba na michoro;
v.    Kujumuisha na kuandaa taarifa za ukaguzi;
vi.    Kuandaa rasimu za Hati na uingizaji wa plani ya Hati (deed plan);
vii.    Kuagiza plani za Hati (Deed Plan).


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

SIFA ZA MWOMBAJI
   Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne au cha Sita, waliofuzu mafunzo ya miaka miwili ya Umiliki Ardhi na Uthamini kutoka Vyuo vya Ardhi au Vyuo Vikuu vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS C .

Login to Apply