MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR GRADE II) - 2 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

MAJUKUMU YA KAZI
•    Sehemu ya Upimaji Milki (Cadastral Survey)
-     Kuingiza taarifa za Upimaji (alpha numeric data) kwenye kompyuta.

•    Sehemu ya Topographic na Geodetic Surveys
-     Kukagua kazi za upimaji na kuingiza taarifa za kazi zilizothibitishwa kwenye komputa.

•    Sehemu ya Ramani
-     Kufanya upimaji picha (aerial triangulation and block adjustment);
-    Kuandaa vikosi kwa ajili ya kuhuisha ramani (map revision)
-    Kutunza kumbukumbu za picha za anga.

•    Sehemu ya Hydrographic Surveys
-Kusimamia na kuchukua vipimo vya tide gauges.
 
•    Mpima Ardhi katika Serikali za Mitaa
-    Kufanya kazi za nje ya Ofisi (field survey operations) chini ya usimamizi wa mpima aliyesajiliwa.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

SIFA ZA MWOMBAJI
•    Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi katika fani za  Geomatics au Land Surveying kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi katika fani ya Upimaji Ardhi au Taasisi yoyote inayotambuliwa na National Council of Professional Surveyors (NCPS). Au
•    Kuajiriwa wenye cheti cha East African Land Survey (EALSC) au National Council of Professional Surveyors Certificate (NCPSC) katika fani ya upimaji ardhi.

REMUNERATION: Salary Scale TGS C

Login to Apply