AFISA ARDHI DARAJA LA II. - 4 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

MAJUKUMU YA KAZI
i.    Kusimamia uingizaji wa kumbukumbu katika kompyuta.
ii.    Kushughulikia utayarishaji wa nyaraka za kisheria.
iii.    Kufanya ukaguzi wa viwanja.
iv.    Kutoa notisi na kupendekeza ubatilishaji wa miliki kwa visivyoendelezwa kwa mujibu wa sheria.
v.    Kuwasiliana na wateja kuhusu Hati zilizotayarishwa na kuwakabidhi.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

SIFA ZA MWOMBAJI
•    Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika mojawapo ya fani ya Bachelor of Science in land Management and valuation, Bachelor of Science in property and facilities Management``, Bachelor of Science in Real Estate and Finance Management, au Shahada ya Sheria kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.E.

Login to Apply