MTHAMINI DARAJA LA II (VALUER GRADE II). - 2 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

MAJUKUMU YA KAZI
i.    Kukusanya taarifa za utafiti na mwenendo wa soko la ardhi;
ii.    Kuhakiki kumbukumbu za utafiti na kuziingiza kwenye kompyuta.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

SIFA ZA MWOMBAJI
•    Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Land management and Valuation kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali katika fani za Usimamizi Ardhi na Uthamini. Au
•    Kuajiriwa wenye cheti cha NCPS katika fani ya Usimamizi Ardhi na Uthamini.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.E.

Login to Apply