AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II (TOWN PLANNER). - 1 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

MAJUKUMU YA KAZI
i.    Kuandaa mipango ya maeneo yaliyoendelezwa kiholela;
ii.    Kuandaa michoro ya Mipangomiji;
iii.    Kupokea michoro ya Mipangomiji na taarifa za maeneo ya ardhi yanayopendekezwa kuiva kwa ajili ya uendelezaji kimji;
iv.    Kuchambua takwimu na taarifa kwa ajili ya maandalizi ya mipango mipya ya makazi;
v.    Kupokea na kuweka kumbukumbu za maombi ya mabadiliko ya matumizi ya ardhi na umegaji wa viwanja;
vi.    Kuhakikisha kuwa mabadiliko ya matumizi ya ardhi yanaingizwa katika michoro.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

SIFA ZA MWOMBAJI
•    Kuajiriwa mwenye Shahada katika moja ya fani za Mipangomiji, ``Bachelor of Science in Housing Infrastructure Planning``, na ``Bachelor of Science in Regional Development Planning`` kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Vyuo Vikuu au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.E.

Login to Apply