AFISA USAJILI MSAIDIZI DARAJA LA II (REGISTRATION ASSISTANT II). - 2 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

MAJUKUMU YA KAZI
i.    Kupokea na kuingiza kumbukumbu za hati katika kompyuta;
ii.    Kufungua majalada ya hati mpya;
iii.    Kupokea maombi na kutayarisha taarifa za uchunguzi wa hati (search report);
iv.    Kufunga hati zilizokamilika (binding) na kuziwasilisha masjala.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

SIFA ZA MWOMBAJI
•    Kuajiriwa wenye astashahada ya Sheria (certificate in law), cheti cha Uthamini na Usimamizi wa Ardhi kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply