MFUGAJI NYUKI MSAIDIZI II... - 2 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kusimamia manzuki;
ii.    Kutunza hifadhi za nyuki;
iii.    Kukusanya takwimu za ufugaji nyuki;
iv.    Kutunza kumbukumbu za kazi za utafiti;
v.    Kuondoa nyuki wanaodhuru binadamu na mifugo;
vi.    Kutoa leseni za biashara ya mazao ya nyuki;
vii.    Kutoa ushauri wa kitaalam kwa wananchi juu ya ufugaji endelevu wa nyuki na matumizi bora ya mazao ya nyuki;
viii.    Kutunza makundi ya nyuki wanaouma na wasiouma.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye Astashahada (Cheti) au Stashahada (Diploma) ya Ufugaji Nyuki kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS B/C

Login to Apply