FUNDI SANIFU DARAJA II- URASIMU RAMANI (CARTOGRAPHY). - 2 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

MAJUKUMU YA KAZI
i.    Kufanya maandalizi ya uchoraji wa ramani za miji kadiri ya uwiano unaohitajika;
ii.    Kutunza kumbukumbu za ramani na plani;
iii.    Kuchora plani za hati miliki, upimaji, mashamba na vijiji;
iv.    Kutoa nakala za plani za hati za viwanja, mashamba na vijiji.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

SIFA ZA MWOMBAJI
•    Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Urasimu Ramani (Cartography) kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply