FUNDI SANIFU DARAJA LA II (MIPANGOMIJI) - 2 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kumsaidia Afisa Mipangomiji katika kukusanya kumbukumbu za shughuli za mipangomiji;
ii.    Kumsaidia kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa mipango ya matumizi ya ardhi ya vijiji na kata;
iii.    Kumsaidia Afisa Mipangomiji katika kuandaa mipango ya matumizi ya ardhi na kata.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Mipangomiji

REMUNERATION: Salary Scale TGS.C

Login to Apply