MSAIDIZI WA HESABU (ACCOUNTS ASSISTANT) - 25 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2017-08-24
Application Deadline: 2017-09-08

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

•    Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu.
•    Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha.
•    Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu
•    Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki.
•    Kufanya usuluhisho wa masurufu, karadha, Hesabu za Benki na Amana.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wenye Cheti cha ATEC level II au “Foundation Level” kinachotolewa na NBAA

REMUNERATION: Salary Scale TGS. B

Login to Apply